Here are the FeedBlitz email updates for you. Click here to start your FREE subscription

Kutoa mchango wako, tembelea tovuti yetu www.JamiiForums.comJamiiForums | The Home of Great Thinkers - 5 new articles

News Alert: Vurugu za Polisi dhidi ya CUF Jana, Vijana wa UKAWA wazungumza.

Kufuatia vurugu zilizofanywa na polisi hapo jana, na kusababisha kupigwa kwa Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, Prof Ibrahim Lipumba, viongozi wa Vijana wa jumuiya za Vijana wa Ukawa, wametoa tamko Kali kulaani kitendo hicho.
Wakizungumza na waandishi wa habari, makao makuu ya CHADEMA, viongozi hao, Patrobas Katambi (BAVICHA), Deo Meck (NCCR- Mageuzi) na Maulidi (JUVICUF) Wamelaani vikali kitendo cha polisi kugeuka taarifa ya CUF na kutoa tarifa muda ukiwa umeenda, pia wameenda mbali na kusema, kwa kuwa Prof. Lipumba ni mwenyekiti wa chama chenye Mkumu wa Rais, na kwa kuwa, Serikali ya CCM ndiyo iliyoshiriki katika kumdhalilisha kiongozi huyu, basi Serikali iombe radhi, na jeshi la Polisi limtake radhi Prof. Lipumba, na kama hawatafranya hivyo, basi, Vijana wa UKAWA wao watatangaza Vita na Polisi nchi nzima.
     Msaada ofisi ya TEMESA makao makuu

Habari wansjf, naomba kuuliza ofisi ya temesa makao makuu, mm npo chanika
     


News Alert: Polisi wanaua na kupewa zawadi tanzania

...tembea uone;katika nchi ya Tanzania pekee ndio polisi wanawaua raia na kupewa zawadi.....si mara nyingi tu umesikia polisi anazawadia ati kwa kuuwa raia.Huu ni upumbavu wa hali ya juu,kazi ya polisi sio hiyo.....sasa watz kama kawaida yao wanalaumu oohooooo polisi wanatumia nguvu kubwa sanaaaaaaa.....sisi wenye kuona mbali tuliona adhari ya mazoea hayo ya kuuwa raia.Je ni chimbo gani yenye mamlaka ya kuhukumu kifo?...lakini sio kuhukumu tu mpaka taratibu kibao zifanyike ndipo adhabu kama hiyo itekelenzwe.....mtakakoma na hawa mapolisi wa kitanzania hatari........
     Kwa nini nasisi tusiwapige mitaani??

Nashauri wananchi waanze kuwapiga Polisi mitaani kulipiza visasi kwa ukatili wao kwa wananchi wasiokuwa na silaha, mbona wapo wengi tu mtaani!!!mpaka waache kuonea wananchi, tuchome moto na nyumba zao kabisa
     


Wanawake wenye matako wanazaa watoto wenye akil sana

Sio maneno yangu. Ni utafitibumefanyika. Soma makala kwenye gazeti.
Attached Thumbnails
Click image for larger version.   Name:	1422451768345.jpg  Views:	N/A  Size:	131.0 KB  ID:	222374  
     
Click here to safely unsubscribe from "JamiiForums | The Home of Great Thinkers." Click here to view mailing archives, here to change your preferences, or here to subscribePrivacy